KenyaKENNEDY ODEDE

Ningependa kumteua Kennedy Odede kwa sababu ya mchango wake mkubwa katika kuboresha maisha ya watu wenye uhitaji nchini Kenya. Kupitia shirika la SHOFCO, amekuwa akisaidia jamii za maeneo yenye changamoto kwa kuhamasisha elimu, uwezeshaji wa vijana na wanawake, pamoja na maendeleo ya jamii.

Ninamheshimu kwa sababu anaonyesha kuwa uongozi mzuri ni kutumia nafasi uliyonayo kuwainua wengine. Ni mfano wa mtu anayestahili kutambuliwa kwa kujitolea kwake katika kuleta mabadiliko chanya nchini Kenya.

Loading…

Sign in to Post to leave a comment.

Posted 1h ago bydavi mwangangi0 Prestige
Kenya00