Mwanariadha wa Kenya na bingwa wa Olimpiki.

KenyaFaith Kipyegon

Faith Kipyegon ni mwanariadha mashuhuri wa Kenya ambaye ameiletea nchi yetu heshima kupitia mafanikio yake katika mbio za masafa ya kati. Anastahili tuzo hii kwa bidii yake, nidhamu na kuwa mfano bora kwa vijana wanaotamani kufanikiwa katika michezo.

Loading…

Sign in to Post to leave a comment.

Posted 1mo ago byNaomi0 Prestige
Kenya00